Wakongo waharibu mpango Yanga, watia mkono
WAKATI Yanga ikiwa na mpango wa kumsajili beki wa kati kutoka Zanzibar, ghafla mabosi wa AS Vita Club ya DR Congo wameibuka na mkakati wa kuhakikisha wanainasa saini ya nyota huyo ili akakiongezee nguvu kikosi hicho.