Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

“Viongozi hawakutumwa kulumbana”

Habari Leo
Published: Apr 23, 2025 14:05:09 EAT   |  News

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, DkDotto Biteko amesema wananchi wanahitaji maendeleo na si malumbano ya viongozi…

The post “Viongozi hawakutumwa kulumbana” appeared first on HabariLeo.

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, DkDotto Biteko amesema wananchi wanahitaji maendeleo na si malumbano ya viongozi wao kwani viongozi hawakutumwa kugombana bali kutumikia wananchi.

Dk Biteko ameyasema hayo leo wilayani Monduli wakati akiongea na wananchi katika kuelekea Maadhimisho ya m-Miaka 61 ya Muungano.

Amesema badala ya viongozi sehemu husika kuwaletea wananchi maendeleo wao kazi yao kulumbana tu na kuwasihi wanna katika kuelekea kipindi cha uchaguzi kusikiliza hoja za viongozi wa vyama vya siasa watakazotoa na mwishowe kupima

“Ni kweli mwaka huu ni wa uchaguzi badala ya mhusika kunadi sera wanachukua saa kumtukana mtu aliyefanya kazi kwa miaka minne na nusu saa unaimalizia kunadi sera za chama chako sasa wananchi pimeni watu wanaotatua shida za watu”

Amewaomba wananchi wa Monduli kuhakikisha wanachagua viongozi bora kwani mbunge wa Jimbo hilo Fredy Lowassa si mbunge mchinganishi bali ni mbunge anayependa maendeleo na si mtu wa kuongea sana bali mi mtu wa kutimiza ahadi

The post “Viongozi hawakutumwa kulumbana” appeared first on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved