Tabora United, KenGold hazichekani

Mwanaspoti
Published: Apr 15, 2025 14:35:48 EAT   |  Sports

KATIKA hali isiyo ya kawaida kwa timu mbili zilizo katika nafasi tofauti kabisa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Tabora United na KenGold zimejikuta kwenye mkondo mmoja wa matokeo baada ya kukumbana na vipigo mfululizo.