Simba ilivyokiwasha jana Amaan Complex

SIMBA licha ya kushindwa kubeba ubingwa wa kwanza wa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na RS Berkane ya Morocco, imeendeleza rekodi ya kutopoteza mechi yoyote nyumbani msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika.