Shangwe la Yanga Kigoma

KIGOMA; SEHEMU ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kuwapokea wachezaji wa timu hiyo Uwanja wa Ndege mkoani Kigoma, wakati…
The post Shangwe la Yanga Kigoma appeared first on HabariLeo.
KIGOMA; SEHEMU ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kuwapokea wachezaji wa timu hiyo Uwanja wa Ndege mkoani Kigoma, wakati Yanga ilipowasili kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa utakaofanyika Jumapili wiki hii Uwanja wa Lake, Tanganyika mkoani Kigoma. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Yanga).-
The post Shangwe la Yanga Kigoma appeared first on HabariLeo.