Samia asaini nakala za sheria Tanzania

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesaini nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu…
The post Samia asaini nakala za sheria Tanzania appeared first on HabariLeo.
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesaini nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha sheria ya urekebu wa sheria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Aprili 23, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma pamoja na Mwakilishi wa Spika wa Bunge ambaye Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dk Joseph Kizito Mhagama na viongozi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria kwa ajili ya kumbukumbu, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.
The post Samia asaini nakala za sheria Tanzania appeared first on HabariLeo.