Refa Stellenbosch, Simba abadilishwa ghafla

Mwanaspoti
Published: Apr 24, 2025 16:47:29 EAT   |  Sports

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba itakayochezwa Jumapili, Aprili 25, 2025.