Pina mwamba aliyeandika rekodi mpya Zanzibar

Mwanaspoti
Published: May 28, 2025 16:22:39 EAT   |  Sports

STRAIKA wa Mlandege na nyota wa timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Abdallah Idd ‘Pina’ ameweka rekodi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) wakati msimu ukiwa ukingoni.