Nondo za kuibeba Simba uwanja wa nyumbani

MCHEZO wa fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane dhidi ya Simba ulimalizika nchini Morocco, na sasa ni kuuendea ule wa marudiano utakaochezwa Tanzania, Jumapili ijayo.