Msanii wa injili Ringtone ashtakiwa kumtapeli mwanamke

Taifa Leo
Published: May 15, 2025 14:28:42 EAT   |  Entertainment

MSANII wa injili Alex Apoko almaarufu Ringtone ameshtakiwa kwa kumtapeli mwanamke ardhi ya thamani ya Sh50 milioni. Mahakama ya Nairobi imeamua awekwe rumande kwa siku nne ili ombi lake la dhamana liamuliwe. Ardhi hiyo inayozozaniwa ipo eneo la Karen, Nairobi. Habari zaidi ni kadiri tunavyozipokea...