Mchinjita ajitosa ubunge Lindi Mjini

LINDI: MAKAMU Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo…
The post Mchinjita ajitosa ubunge Lindi Mjini appeared first on HabariLeo.
LINDI: MAKAMU Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kupitia chama hicho.
Mchinjita amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo la Lindi Mjini, Hamad Zuberi leo Aprili 23, 2025 katika Ofisi za Jimbo la Lindi Mjini.
The post Mchinjita ajitosa ubunge Lindi Mjini appeared first on HabariLeo.