Mchekeshaji Bambo aandika kitabu cha maisha yake ya sanaa

Milard Ayo
Published: Oct 15, 2024 14:54:20 EAT   |  Entertainment

Mchekeshaji Mkongwe Bambo aliyedumu Kwenye Sanaa za uigizaji na Vichekesho kwa zaidi ya miaka 20 ameamua kuandika kitabu chake kinachoelezea Sanaa na Maisha ambacho anatarajia kukizindua tarehe 26, October Mbezi beach katika ukumbuki wa Mambo beach hall Akizungumza na AyoTVENT bambo amesema amekuja na hii ili kuendelea kuwa karibu na mashabiki zake wa vizazi tofauti […]

The post Mchekeshaji Bambo aandika kitabu cha maisha yake ya sanaa first appeared on Millard Ayo.

Mchekeshaji Mkongwe Bambo aliyedumu Kwenye Sanaa za uigizaji na Vichekesho kwa zaidi ya miaka 20 ameamua kuandika kitabu chake kinachoelezea Sanaa na Maisha ambacho anatarajia kukizindua tarehe 26, October Mbezi beach katika ukumbuki wa Mambo beach hall

Akizungumza na AyoTVENT bambo amesema amekuja na hii ili kuendelea kuwa karibu na mashabiki zake wa vizazi tofauti tofauti ambo wamekuwa Wakil support kwa miaka yote na Ndiomana hiyo siku itaambatana na show ya Wakongwe Standup Comedy itakayo kuwa na wakali kama kingwendu, vengu na wengine..

“Nimekuja na Jambo langu nahitaji sana Support, Main point Niuzinduzi wakitabu. Naitasindikizwa na Wakongwe Stand up comedy – Mana now watu wengi hawapati stand up comedy za Wasanii wengne wazamani. Ndugu zangu kina Mtanga, kingwendu, Muhogo mchungu na wengine wengi watakuwepo siku hiyo” Bambo

 

#millardayoENT

The post Mchekeshaji Bambo aandika kitabu cha maisha yake ya sanaa first appeared on Millard Ayo.