Madrid apewa Atletico, PSG na Liverpool Uefa

UFARANSA: REAL Madird imepagwa kucheza na Atletico Madrid katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Liverpool…
The post Madrid apewa Atletico, PSG na Liverpool Uefa appeared first on HabariLeo.
UFARANSA: REAL Madird imepagwa kucheza na Atletico Madrid katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Liverpool itakutana na Paris Saint Germain.
SOMA ZAIDI: Liverpool kupotea Msitu wa Nottingham leo?
Michezo mingine, Barcelona itacheza na Benfica, Inter dhidi ya Feyenoord, Bayern itakutana na Bayer Leverkusen, Lille dhidi ya Borussia Dortmund, Aston Villa dhidi ya Club Brugge.
The post Madrid apewa Atletico, PSG na Liverpool Uefa appeared first on HabariLeo.