Kiluvya yamchorea ramani Mingange
KOCHA Mkuu wa Stand United, ‘Chama la Wana’, Meja Mstaafu Abdul Mingange amesema mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Kiluvya United utampa ramani ya kikosi chake na uelekeo katika Ligi ya Championship inayoanza kesho Septemba 21.