Kilimanjaro Stars yaweka rekodi mbovu Mapinduzi Cup

Mwanaspoti
Published: Jan 07, 2025 19:00:27 EAT   |  Sports

WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2025 ikishirikisha timu za taifa kwa mara ya kwanza, kikosi cha Kilimanjaro Stars kimejikuta kikiweka rekodi mbovu.