Kamati ya maadili TFF yamfungia katibu mkuu DRFA

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemfungia Ramadhan Missiru, Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kutojihusisha na shughuli zozote za mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka sita.