Freeman Mbowe kugombea uenyekiti Chadema
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema yupo tayari kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.…
The post Freeman Mbowe kugombea uenyekiti Chadema appeared first on HabariLeo.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema yupo tayari kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Mbowe ametangaza nia hiyo leo Desemba 21, wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali jijini Dar es Salaam.
“Na nitapomaliza kupokea maswali na kuyajibu, nitakwenda nitakwenda makao makuu kuchukua fomu ya kugombewa uenyekiti wa Chadema taifa,” amesema Mbowe.
The post Freeman Mbowe kugombea uenyekiti Chadema appeared first on HabariLeo.