Fountain yagomea mechi baada ya kuchapwa 3-0 kipindi cha kwanza

Mwanaspoti
Published: May 17, 2025 19:33:33 EAT   |  Sports

MCHEZO wa Ligi Kuu Soka Wanawake kati ya JKT Queens dhidi ya Fountain Gate Princess uliofanyika leo Jumamosi Mei 17,2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, umeshindwa kuendelea kipindi cha pili.