Fitinesi ya mastaa Tabora yamshtua Mzimbabwe

Mwanaspoti
Published: Mar 24, 2025 13:48:54 EAT   |  Sports

TABORA United imeshaanza maisha mapya na kocha wao mpya, Genesis Mangombe na jamaa ameshashtukia mambo fasta ndani ya kikosi chake.