Baba wa miaka 50 adaiwa kumuingilia binti yake wa miaka 6

Milard Ayo
Published: Oct 15, 2024 16:39:18 EAT   |  General

Baba anaekadiriwa kua na miaka zaid ya 50 amedaiwa kumuingia mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 anaesoma darasa la Kwanza Mwera Visiwani Zanzibar huku mama mzazi akiwa na matatizo ya afya ambapo hutumia Dawa za akili za (Mental -Mirembe) Dawa ambazo humfanya alale kwa muda Mama mzazi ameelezea kua mtoto huyo kua […]

The post Baba wa miaka 50 adaiwa kumuingilia binti yake wa miaka 6 first appeared on Millard Ayo.

Baba anaekadiriwa kua na miaka zaid ya 50 amedaiwa kumuingia mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 anaesoma darasa la Kwanza Mwera Visiwani Zanzibar huku mama mzazi akiwa na matatizo ya afya ambapo hutumia Dawa za akili za (Mental -Mirembe) Dawa ambazo humfanya alale kwa muda

Mama mzazi ameelezea kua mtoto huyo kua kwa sasa haendi shuleni na amekua akipata maumivu kwenye sehemu zake za siri zote mbili huku akitoka maji maji na vidudu wakati wa kukaa ,kujisaidia na kuogeshwa

Mama huyo mwenye Umri wa miaka 30 imelazimu kurudi nyumbani kwao huku wakifuatilia kesi hiyo ambapo mtuhumiwa ambae ni baba yake ameachiliwa kwa zamana huku familia ya mwanaume huyo imekua ikimtafuta mama wa mzazi huyo ili kuzimaliza tuhuma hizo kwa kulizima tukio hilo pasi na kuendelea kwa kesi hiyo

Baada ya taarifa hizo kusambaa waziri wa maendeleo ya Jamii wazee na Watoto Zanzibar Riziki Pembe Juma ameshangzwa na taarifa mtuhimiwa huyo kuachiwa na kulitaka jeshi la polisi kumkamata mtuhumiwa huyo ambapo pia amehoji ni kwanini mpelelezi ameshindwa kukamilisha ushahidi ndani ya saa 24

The post Baba wa miaka 50 adaiwa kumuingilia binti yake wa miaka 6 first appeared on Millard Ayo.