Aziz Ki atambulishwa Wydad

MOROCCO; KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ya Dar es Salaam, Aziz Ki leo Mei 25, 2025 ametambulishwa rasmi katika timu ya Wydad Athletic Club ya nchini Morocco.