Arsenal yapewa PSV 16 bora Uefa

UFARANSA: ARSENAL ‘The Gunners’ imepagwa kucheza na PSV ya Uholanzi katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa…
The post Arsenal yapewa PSV 16 bora Uefa appeared first on HabariLeo.
UFARANSA: ARSENAL ‘The Gunners’ imepagwa kucheza na PSV ya Uholanzi katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Katika michezo minne ya mwisho, Arsenal imeshinda mara mbili, sare moja na kupoteza mechi moja dhidi ya timu hiyo.
SOMA ZAIDI: Arsenal vs PSG: Kibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya
Arsenal imefika hatua hiyo baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi ya Mabingwa, wakati PSV ikiiondoa Juventus katika mchezo wa ‘play off’.
The post Arsenal yapewa PSV 16 bora Uefa appeared first on HabariLeo.