AKILI ZA KIJIWENI: Afrika Mashariki tuitendee haki Chan

Mwanaspoti
Published: Sep 19, 2024 14:32:04 EAT   |  Sports

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Patrice Motsepe hivi karibuni alitangaza habari njema ambayo nchi za Tanzania, Kenya na Uganda hapana zingeifurahia.