Ahmed Ally aamua kuwakera Yanga SC

Milard Ayo
Published: Jan 20, 2025 13:09:01 EAT   |  Sports

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally leo ameamua kulipamba gari lake msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na lengo la kuwakera. Ahmed Ally amesema ameamua kufanya hivyo ili kuwakumbusha watu sababu hapa kati kulikuwa na mambo mengi na ameacha hivyo kwa muda wiki […]

The post Ahmed Ally aamua kuwakera Yanga SC first appeared on Millard Ayo.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally leo ameamua kulipamba gari lake msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na lengo la kuwakera.

Ahmed Ally amesema ameamua kufanya hivyo ili kuwakumbusha watu sababu hapa kati kulikuwa na mambo mengi na ameacha hivyo kwa muda wiki tatu hadi mwezi.

Simba SC wao wamefuzu kwenda robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wakati Yanga wametolewa hatua ya Makundi baada ya kumaliza nafasi ya tatu.

The post Ahmed Ally aamua kuwakera Yanga SC first appeared on Millard Ayo.