Zuchu adai Diamond ndiye mwanamume wa kwanza kumpa burudani chumbani

Taifa Leo
Published: Sep 09, 2023 13:29:04 EAT   |  Entertainment

NA WINNIE ONYANDO MWANAMUZIKI kutoka nchini Tanzania Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu, amefichua kuwa Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz ndiye mwanamume wa kwanza kumpa burudani chumbani. Katika video iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, mwanamuziki huyo alidai kuwa Diamond ndiye mwanamume wa pekee ambaye amewahi kushiriki naye mapenzi. Hii ni baada ya Zuchu kuulizwa idadi […]