Ziara za Rais ugenini raia wakikaza mshipi

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto huenda akaweka historia kama kiongozi wa Kenya aliyefanya ziara nyingi zaidi ugenini iwapo mtindo wake wa sasa wa kusafiri utaendelea. Kwa miezi minane ambayo amekuwa afisini, Dkt Ruto amefanya ziara zaidi ya 20 nje ya nchi alizoanza siku sita baada ya kuingia ikulu. Katika mapendekezo ya bajeti ya mwaka […]