ZARAA: Minazi si ya Pwani pekee, yaweza kuwa pato kwa ‘watu wa bara’

NA LABAAN SHABAAN TAKWIMU za Wizara ya Kilimo 2021, zinaonyesha nazi huzalishwa katika kaunti sita za pwani; Kilifi, Kwale, Lamu, Mombasa, Taita Taveta na Tana River. Ila kuna uwezo mkubwa kwa kaunti nyingine kama Tharaka Nithi, Meru, sehemu kadhaa Makueni, Machakos, Busia, Homa Bay na Siaya kuzalisha mazao ya minazi nchini. Kenya ina uwezo wa […]