ZARAA: Kazi ilikosekana, akajipa ya ukulima na wala hajuti

Taifa Leo
Published: Feb 22, 2023 06:38:21 EAT   |  Jobs and Career

NA PETER CHANGTOEK BAADA ya kusaka ajira kwa muda mrefu pasi na mafanikio, Jackson Sawe aliamua kujitosa katika ukuzaji wa mikarakara. “Nilisomea taaluma ya Teknolojia ya Mawasiliano na ualimu, lakini nilikufa moyo kwa kutafuta ajira, na kuamua kujihusisha na uzalishaji na kuisadia jamii yangu. Nilichagua mikarakara, shughuli niliyoanzisha 2017 katika shamba robo ekari,” aeleza Sawe. […]