Wivu ulifanya nimuue Ivy, afichua Naftali

Taifa Leo
Published: Mar 04, 2023 14:42:36 EAT   |  Educational

TITUS OMINDE Na ANNEBEL OBALA MSHUKIWA wa mauaji wa mwanafanzi wa Chuo Kikuu cha Moi Ivy Wangeci, 22, miaka mitatu iliyopita, Ijumaa alikiri kuwa alimkata kwa shoka baada ya kusalitiwa kimapenzi. Naftali Kinuthia alieleza Mahakama Kuu ya Eldoret kuwa alikasirishwa na usaliti huo akidai kuwa Bi Wangeci, ambaye alikuwa akisomea kozi ya matibabu, alikuwa na […]