Wito mashamba makubwa ya kilimo yalindwe kazi zisipotee

Taifa Leo
Published: Sep 20, 2023 13:06:27 EAT   |  Jobs and Career

NA LAWRENCE ONGARO MKURUGENZI wa kampuni ya Delmonte anayeondoka Bw Stregios Gkaliamoutsas, amesema kuna haja ya mashamba makubwa ya kilimo kulindwa ili yasinyakuliwe na kutumika na watu wenye ubinafsi wasiotaka vijana na vibarua kuwa na ajira. Alitoa mfano kwamba kando ya barabara kuu ya Thika Superhighway, kuna mashamba makubwa mengi ambayo yanatumika kama maeneo ya […]