Wiper yajitenga na Gideon Moi kuhusu kuunga Raila 2022

Na PIUS MAUNDU CHAMA cha Wiper, kimetofautiana na Kanu kuhusu ushirikiano wa Muungano wa One Kenya Alliance (OKA) na chama cha ODM kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Mwenyekiti wa Kanu, Bw Gideon Moi, Ijumaa alisema kuwa OKA haikuwa na tofauti na Bw Odinga kwa kuwa wana lengo moja kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, viongozi […]