Wetang’ula asuta Azimio

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 14:17:22 EAT   |  News

NA BENSON MATHEKA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amesuta muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya unaongozwa na Raila Odinga kwa kutishia kufanya maandamano kushinikiza serikali kushughulikia matakwa ya muungano huo. Bw Wetang’ula amemtaka Waziri Mkuu huyo wa zamani kukumbatia mifumo ya amani kushughulikia matakwa yao kwa ustawi wa nchi. “Ikiwa Raila na timu […]