Wavukia kwenye paipu ya umeme hatari

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 12:49:16 EAT   |  General

NA SAMMY KIMATU [email protected] WANAFUNZI kadhaa hawakusoma leo Alhamisi baada ya daraja la Kayaba/Hazina lililoko South B, kaunti ndogo ya Starehe kutopitika kutokana na mafuriko. Maji mengi kutokana na mvua nyingi maeneo ya Kibera, Dagoretti na Upper Hill yalipasua kingo za mto Ngong baada ya Bwawa la Kibera Silanga kujaa kupita kiassi na kulazimisha maji […]