Watu 40 wauawa, 100 hawajulikani waliko nchini DRC

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC WAPIGANAJI waliojihami vikali waliwaua zaidi ya watu 40 katika mji wa Mongwalu ulioko mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa DRC. Ripoti zilisema watu wengine zaidi ya 100 hawajulikani waliko. Mauaji hayo yanadaiwa kutekelezwa na kundi la Co-operative for the Development of Congo (Codeco) katika mji wa Mongwalu. Wanamgambo hao walilenga mgodi […]