Watu 2 wafariki baada ya gari lao kutumbukia mtoni

NA GEORGE MUNENE WATU wawili akiwemo dereva Jumatatu waliaga dunia, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye mto Rubingazi, katika daraja la Mwiria, kaunti ya Embu. Mwanamke aliyekuwa abiria wa tatu katika gari hilo la Probox, aliokolewa na kupelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Embu. “Tumemwokoa mwanamke aliyekuwa akisafiri katika gari lililopata ajali pekee. Tumeuopoa […]