Watoto waachwa mataani elimu ikizidi kudorora Pwani

WINNIE ATIENO NA MAUREEN ONGALA HALI ya viwango vya elimu kudorora katika kaunti za Pwani, inazidi kuibua lalama kutoka kwa wadau mbalimbali huku suluhisho mwafaka likikosa kuonekana. Kwa miaka kadha sasa, shule zilizo Pwani hazijakuwa zikitoa matokeo bora katika mitihani ya kitaifa. Hivi majuzi, Wizara ya Elimu pia ilifichua kuwa Kaunti za Kwale na Kilifi […]