Watoaji elimu ya maabara ya tiba watozwa faini ya Sh800,000 kwa kuhudumu bila leseni

Taifa Leo
Published: Sep 07, 2023 16:03:42 EAT   |  Educational

NA RICHARD MUNGUTI WAMILIKI wa chuo cha kutoa mafunzo ya masuala ya matibabu wametozwa faini ya Sh0.8 milioni kwa kutoa mafunzo yanayohusu elimu ya maabara ya tiba bila leseni kutoka kwa Wizara ya Afya. Hakimu mwandamizi katika mahakama ya Milimani Bernard Ochoi aliwaadhibu Roseline Akeyo na Olet Joshua kwa kukaidi sheria za Wizara ya Afya […]