Wataalam, wanafunzi chini ya mwavuli wa MKU HSA washirikiana na kanisa kuwahudumia wakongwe mjini Machakos

NA LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wa kitengo cha afya katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya na kanisa la ACK kwa ushirikiano na wataalam, wametoa matibabu kwa wakazi wa kijiji cha Mitihani katika Kaunti ya Machakos. Wanafunzi wa chama cha MKU Health Students Association (MKU HSA) na wadau katika kanisa la ACK Church-Mother Union walitoa huduma muhimu […]