Wasioonyesha uzalendo kuadhibiwa nchini Zimbabwe

NA KITSEPILE NYATHI HARARE, ZIMBAMBWE BUNGE la Zimbabwe mnamo Jumatano lilipitisha sheria yenye utata ambayo inalenga kuwaadhibu raia “wasioonyesha uzalendo”. Aidha, hatua hiyo ya kisheria inakinzana na ahadi ya Rais Emmerson Mnangagwa aliyotoa ya watu kuwa huru zaidi. Chama tawala cha Rais Mnangagwa, ZANU-PF, kilitumia wingi wa wabunge wake kupitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria […]