Wasimamizi wa Bandari ya Lamu wasema biashara ya mifugo mataifa ya nje ingali imara

NA KALUME KAZUNGU BIASHARA ya mifugo mataifa ya nje kupitia Bandari ya Lamu (Lapsset) bado iko imara. Haya ni kwa mujibu wa maafisa wasimamizi wa Bandari ya Lamu waliopinga madai kuwa biashara hiyo imesambaratika miezi michache baada ya kuzinduliwa bandarini humo mwaka 2022. Biashara ya mifugo kutoka Kenya, kuelekea mataifa ya nje, hasa Oman, kupitia […]