Washukiwa wa uvamizi wa shamba la familia ya Kenyatta kufikishwa mahakamani

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 19:11:20 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Usalama wa Ndani Profesa Kithure Kindiki mnamo Jumatano, Mei 31, 2023 ametangaza kuwa washukiwa kadha watafikishwa mahakamani kuhusiana na uvamizi uliofanyika katika shamba la familia ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta mapema mwaka huu katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu. Kwenye kikao na wanahabari nje ya afisi yake iliyoko Jumba […]