Washirika Azimio wakaba Raila koo

NA LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga anaonekana kukabwa koo na washirika wake, hali ambayo imeanza kuzua misukosuko ndani ya muungano huo wenye vyama 26. Wadadisi wa siasa wanasema Bw Odinga tayari ameonyesha dalili za kutokuwa na usemi kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo uteuzi wa mgombea mwenza wake, huku washirika tofauti […]