WANTO WARUI: Serikali iingilie suala la mzigo unaobebeshwa wazazi kufuatia migomo shuleni

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 05:41:31 EAT   |  Educational

Na WANTO WARUI TANGU muhula wa pili wa mwaka huu wa 2021 kuanza, wanafunzi wengi wa shule za Sekondari wamekuwa wakifanya michezo ya paka na panya na walimu. Kuchoma shule na kuzua fujo mara kwa mara kwa wanafunzi kumewaacha walimu na wazazi hoi wasijue la kufanya. Walioathirika zaidi ni wazazi hasa wale wasioweza kujikimu kimaisha […]