WANTO WARUI: KNEC itatue tatizo la uhamaji wa wanafunzi wa CBC kutoka shule moja hadi nyingine

Taifa Leo
Published: May 09, 2022 15:32:49 EAT   |  Educational

NA WANTO WARUI MFUMO mpya wa elimu unaojulikana kama CBC hatimaye umefikia kilele cha kuwatahini wanafunzi wake wa kwanza mwaka huu ambao ni wale wa Gredi ya 6. Hata hivyo, mambo bado hayajanyooka kwa kuwa mfumo wenyewe una changamoto kadha wa kadha ambazo zinaukumba. Moja ya changamoto hizo ni uhamishaji wa wanafunzi hasa wa Gredi […]