WANDERI KAMAU: Uchumi: Kuna uwezekano Serikali inawapotosha raia

NA WANDERI KAMAU KUTOKANA na maendeleo ya kiteknolojia, usambazaji wa habari duniani umebadilika kabisa. Kwa sasa, ni rahisi mtu kujua mambo tofauti yanayoendelea duniani akiwa popote alipo, bora tu awe na rununu, kompyuta au kipakatalishi kilichounganishwa na mtandao wa intaneti. Kwa hilo pekee, itakuwa rahisi kwake kujua yale yanayofanyika barani Asia, Ulaya, Amerika (Kusini na […]