WANDERI KAMAU: Manifesto zimegeuzwa jukwaa za kupotosha raia

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 05:25:14 EAT   |  News

Na WANDERI KAMAU MANIFESTO huwa ni orodha ya ahadi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ambazo vyama ama wagombea wa nyadhifa mbalimbali huahidi kuwatimizia wafuasi wao ikiwa watafaulu kutwaa nafasi hizo. Ni mtindo ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika mifumo yote ya kiutawala ambayo ishawahi kuwa hapa duniani—ya kidemokrasia, kifalme ama kikomunisti. Chimbuko lake lilitokea katika […]