WANDERI KAMAU: CBC: Jopo litilie maanani kuwapunguzia wanafunzi mzigo wa masomo

Taifa Leo
Published: Feb 11, 2023 13:48:47 EAT   |  Educational

NA WANDERI KAMAU KWENYE makala aliyoandika Jumamosi iliyopita katika gazeti moja, msomi na mchanganuzi Barrack Muluka alilalamika kuhusu hali, mwelekeo na kiwango cha elimu nchini Kenya. Msomi huyo aliufananisha mfumo wa elimu nchini na “mzigo mkubwa” anaotwikwa mwanafunzi mchanga, ambaye kimsingi anafaa kupewa nafasi kuufurahia utoto wake. Dkt Muluka, ambaye majuzi alimaliza kusomea shahada yake […]