Wandayi: Dosari za KCPE huenda zikaibuka kwenye KCSE

NA KASSIM ADINASI KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa, Bw Opiyo Wandayi amedai ubora wa matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) utakuwa wa kutiliwa shaka sawa na KCPE ya mwaka huu, 2023. Bw Wandayi Jumamosi, Desemba 9, 2023 aliwasuta Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu na mwenzake wa ICT Eliud Owalo […]