Wandani wa Ruto: Raila atasalitiwa

Taifa Leo
Published: Dec 11, 2021 22:11:11 EAT   |  News

CHARLES WASONGA na SHABAAN MAKOKHA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamedai kuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga atasalitiwa na wale wanaunga mkono azma yake ya urais wakiwemo mabwanyenye wa Mlima Kenya. Wanasiasa hao jana walisema dalili ya usaliti huo zilijitokeza Ijumaa katika uwanja wa Kasarani Ijumaa wakati wanasiasa wakuu nchini walikwepa mkutano wa Azimio […]