Wanaokata miti kiholela jijini Nairobi kukiona

Taifa Leo
Published: Mar 22, 2023 14:12:51 EAT   |  News

NA SAMMY KIMATU SERIKALI imetoa onyo kali kwa yeyote atakayepatikana akiharibu au kukata miti kiholela ikisema atakamatwa na kushtakiwa. Naibu Kamishna wa kaunti ndogo ya Starehe, Bw John Kisang amesema kuanzia Novemba 2022 hadi Machi 21, 2023 zaidi ya miti 2,600 imepandwa katika eneobunge la Starehe. Bw Kisang alizungumza na Taifa Leo alipoongoza hafla iliyofanyika […]